[caption id="attachment_36414" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Iringa mara baada ya kuwasili ofisini hapo kwa ajili ya ziara ya kuhamasisha vijana na kukagua maeneo yaliyotengwa kujenga vitalu nyumba mkoani humo.[/caption]
Na; mwandishi wetu:
Vijana nchini watakiwa kubadili mtazamo kwa kuanzisha miradi ya kimkakati itakayowawezesha kiuchumi.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu...
Read More