Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Jenifa Omolo, akizungumza wakati wa kikao na Menejimenti ya Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), alipotembelea chuoni hapo, jijini Arusha.
Na. Saidina Msangi, WFM, Arusha.
Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimetakiwa kuongeza ubunifu katika utendaji kazi wake ili kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani yatakayowezesha chuo hicho kujiendesha kikamilifu kwa kutumia mapato hayo.
Maagizo hayo yametolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Jenifa Omolo, wakati wa ziara yake katika chu...
Read More