Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo – Busisi mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo – Busisi mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima.
Muonekano wa maendeleo ya ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo -Busisi mkoani Mwanza ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Oktoba 16, 2022....
Read More