Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa (kulia) wakisalimiana na viongozi wa Mkoa wa Ruvuma wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea kwa ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, Oktoba 18, 2022. Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Jenista Mhagama, Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Ruvuma, Odo na mwisho na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomas.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakifurahia ngoma wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea...
Read More