[caption id="attachment_39527" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (katikati) akikagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali, Ihumwa jijini Dodoma.[/caption]
Na Teresia Mhagama, Dodoma
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kupeleka umeme katika Wizara kumi ambazo bado hazijalipia gharama ya kuunganishiwa umeme katika maeneo yao ya ujenzi kwenye Mji wa Serikali uliopo Ihumwa jijini Dodoma.
Ameyasema hayo leo jijini Dodoma baada ya kukagua...
Read More