Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi.Jenifa Christian Omolo (wa kwanza kushoto) akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Maaluum ya Wasioona Buigiri, Bw. Samwel Jonathan (wa kwanza kulia) kadi 100 za bima ya afya za Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo, mkoani Dodoma. Kulia kwake ni wawakilishi wa viongozi wa Chama cha Wafanyakazi TUGHE tawi la Wizara hiyo, Bi. Scholastica Okudo, Bi. Halima Juma, Bi. Mariam Kiangi na Afisa Elimu Kata ya Buigiri, Mwalimu Emmanuel Otta.
Read More