Na. Catherine Sungura-Dodoma
Wizara ya afya,Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto –Idara kuu Afya imeendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma za kibingwa kwenye mazingira karibu na wananchi kwenye hospitali zake za rufaa za mikoa hapa nchini
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Zainabu Chaula wakati akijibu maswali kutoka kwa wajumbe wa kamati ya ya kudumu ya Bunge na huduma na maendeleo ya jamii jijini hapa.
“Katika kipindi cha Julai hadi Novemba 2019 hospitali za rufaa za mikoa 18 zilitoa huduma za mkob...
Read More