[caption id="attachment_26092" align="aligncenter" width="750"] Kamishna wa Kodi za Ndani, Elijah Mwandumbya (kulia)akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi wa Kampeni ya Usajili wa Walipakodi.[/caption]
Na Jacquiline Mrisho.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeondoa utaratibu wa awali kwa walipakodi wadogo kulipia kodi kabla ya kuanza kufanya biashara na badala yake kuwataka kulipia robo ya kwanza ndani ya siku tisini tangu kusajiliwa.
Kamishna wa Kodi za Ndani, Elijah Mwandumbya ameyabain...
Read More