[caption id="attachment_26460" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani, wakati alipowasili kwenye Mradi wa ujenzi wa Kituo cha kupoozea umeme, eneo la Unanga, katika Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Joyce Mndeme na kulia ni Meneja Mradi Didas Lyamuya.[/caption]
[caption id="attachment_26461" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi katika Mradi wa Kituo cha kupoozea umeme, eneo la Unanga, katika...
Read More