[caption id="attachment_26535" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Mpya wa Madini, Doto Biteko (katikati) akizungumza katika kikao chake na watumishi wa Wizara ya Madini. Kulia kwa Naibu Waziri Doto Biteko ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila na kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.[/caption]
Naibu Waziri wa Madini, Doto Mashaka Biteko ambaye ameapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Naibu Waziri katika Wizara ya Madini tarehe 8 Januari, 2018 ameanz...
Read More