Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na Mzee Hassan Omar Mzee (aliyechanganya udongo wa Muungano) ambaye amelazwa katika Kituo cha Afya cha Kibweni Wilaya ya Magharibi ‘A’ Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar leo Januari 4, 2022
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo leo Januari 4, 2021 amemtembelea na kumjulia hali mmoja wa waasisi wa Muungano, Mzee Hassan Omar Mzee aliyelazwa katika Kituo cha Afya cha Kibweni Wilaya ya Magharib...
Read More