[caption id="attachment_27316" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Borega wilayani Tarime wakati alipotembelea maabara ya shule hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Januari 18, 2018.[/caption]
[caption id="attachment_27317" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa Serengeti mjini Tarime Januari 17, 2018.[/caption]...
Read More