[caption id="attachment_27331" align="aligncenter" width="750"] Mhandisi Mkazi anayesimamia ujenzi wa Daraja la Ruhuhu, Mhandisi Napegwa Kiseko, akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, kuhusu maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo linalounganisha Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe na wilaya ya Nyasa, mkoani Ruvuma wakati alipofanya ziara ya ukaguzi wa daraja hilo kwa upande wa mkoa wa Ruvuma.[/caption]
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, amemtaka mkandarasi anayejenga daraja la Ruhuhu wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma kuendelea ku...
Read More