Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Fatuma Toufiq (kushoto) akieleza jambo wakati wa kikao cha kupokea taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Wakala wa Huduma za Ajira, bungeni leo Oktoba 17, 2023, Jijini Dodoma. Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo, Rehema Kipera.
Read More