[caption id="attachment_43392" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akipokewa na Rais wa Chama Cha Maafisa Uhusiano wa Sekta Binafsi Tanzania (PRST) Loth Makuza, mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam leo Ijumaa (Mei 24, 2019) kwa ajili ya kushiriki katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Mawasiliano Barani Afrika. Kushoto ni Mratibu Mwenyekiti wa Bodi ya PRST, Jossey Mwakasyuka.[/caption]
Na. Mwandishi Wetu,
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa n...
Read More