[caption id="attachment_44030" align="aligncenter" width="640"] Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Jenerali Mstaafu George Waitara akikabidhi tuzo iliyotolewa kwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya TGT jijini Arusha.[/caption]
Na Mwandishi Wetu
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)
Jenerali Mstaafu wa Jeshi, George
Waitara leo amekabidhi kwa Waziri wa Utalii na Maliasili Dkt. Hamisi Kigwangalla tuzo iliyosh...
Read More