Na. Immaculate Makilika
Ni miaka michache imebaki kufikia mwaka 2025, mwaka ambao Tanzania inatarajiwa kuwa nchi ya uchumi wa kati.
Katika mahojiano maalumu yaliyofanyika hivi karibuni kupitia jarida la Forbes Afrika, Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Magufuli anatanabaisha kuwa dira ya maendeleo ni kuwa na Taifa lenye amani na utulivu, kukomesha vitendo vya rushwa, kuwekeza kwenye elimu pamoja na kujenga uchumi imara na wenye ushindani.
Rais Magufuli anasema “Kama nchi, dira yetu iko bayana, utawala wangu umedhamiria kuhakikisha...
Read More