[caption id="attachment_47579" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mkandarasi wa mradi wa maji Kintinku/Lusilile, Injinia Jumanne Werema, uliyopo katika Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida, Oktoba 4.2019. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi. Waziri Mkuu yupo mkoani Singida kwa ziara ya kikazi ya siku nne.[/caption]
[caption id="attachment_47580" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Watumishi wa Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida, kwenye ukumbi...
Read More