[caption id="attachment_48007" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi akizungumza na Mkuu wa Kitengocha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Kilimo, Bw. Revocatus Kassimba alipotembelea baadha mabanda ya Maonesho ya kuadhimisha Siku ya Chakula duniani ambayo kitaifa yanafanyikia katika viwanja vya Bombadier mkoani Singida.Kulia ni Afisa Maendeleo wa Jamii Mkoa wa Singida, Bw. Patrick Kasango Kauli mbiuya maadhimisho hayo ni; Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yatazinduliwa rasmi tarehe...
Read More