Mkuu wa Wilaya ya Chunya, MaryPrisca Mahundi amesema ulinzi umeimarishwa katika Soko la Madini Chunya tangu lilipozinduliwa mnamo tarehe 02 Mei, 2019.
Akizungumza kupitia mahojiano kwa ajili ya maandalizi ya kipindi maalum kuhusu Mafanikio kwenye Sekta ya Madini leo tarehe 04 Desemba, 2019 mjini Chunya mkoani Mbeya amesema kuwa, kabla ya kuanzishwa kwa soko wafanyabiashara wa madini hawakuwa na uhakika wa usalama wa biashara yao, lakini kwa sasa wanafanya biashara katika mazingira salama na kulipa kodi mbalimbali Serikalini.
Aliongez...
Read More