[caption id="attachment_50258" align="aligncenter" width="960"] Maafisa wa Shirika la Viwango Tanzania wakitoa elimu na kufanya ukaguzi wa mifuko mbadala Tandika mwishoni.[/caption]
Na Mwandishi Wetu
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kufanya ukaguzi wa kushtukiza kwa wazalisha wakubwa, wa kati na wadogo na wauzaji wa mifuko mbadala ili kuhakikisha mifuko iliyoruhusiwa, ndiyo inayoendelea kuzalishwa na kuingizwa sokoni.
Katika mwendelezo wa ukaguzi huo wa kushtukiza mwishoni mwa wiki maofisa wa shirika hilo walifanya ukaguzi kweny...
Read More