[caption id="attachment_52072" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Zainab Chaula akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Makatibu Wakuu ya kukabiliana na COVID-19 baada ya kutembelea Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani tarehe 8 Aprili, 2020.[/caption]
[caption id="attachment_52073" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Zainab Chaula akizungumza mbele ya wa...
Read More