Utekelezaji wa miradi ya miundombinu mbalimbali ikiwemo nishati, reli, maji, barabara, na viwanja vya ndege ni miongoni mwa viashiria muhimu katika ukuaji wa uchumi wa Taifa lolote duniani.
Tanzania imedhamiria kukuza uchumi wake na kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 kwa kupitia sekta ya viwanda. Ili lengo hilo liweze kufanikiwa ni lazima iwe na miundombinu bora na imara.
Katika kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa, Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli imejikita kwenye utekelezaji wa miradi mikubwa ya...
Read More