[caption id="attachment_53606" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akikata utepe kuzindua rasmi ofisi ya ardhi ya Mkoa wa Singida jana. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Singida ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskasi Muragili wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mary Makondo na wa tatu kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Alhaji Juma Kilimba.[/caption]
Na Munir Shemweta, WANMM
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewataka Wasaj...
Read More