Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua kongamano la Kisayansi la Kitaifa kuhusu VVU na UKIMWI katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani, kwenye ukumbi wa Mbeya Modern Highland Hotel, Jijini Mbeya, Novemba 26, 2021
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi walioshiriki katika kongamano la kisayansi la Kitaifa kuhusu VVU na UKIMWI katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani, kutoka kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Wenye Ulemavu), Ummy Nderiananga, Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ac...
Read More