Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akiagana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Patricia Laverley, baada ya kusaini Mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Dola za Marekani milioni 125.2, sawa na sh. bilioni 289.34 kwa ajili ya Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Afisa Sheria Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Paulina Fungameza.
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
Wakazi wa Jiji la Dodom...
Read More