Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Mpango Kabambe wa Uhifadhi wa Mazingira, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Juni 5, 2022. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo na kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Zlatan Milisic.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha Mpango Kabambe wa Uhifadhi wa Mazingira baada ya kuuzindua, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, kwenye ukumbi wa Mik...
Read More