Mkuu wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa vitendo Tanzania (LST), Jaji Dkt. Benhajj Masoud na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Abdul-Razaq Bardu wakiweka saini hati ya makubaliano yatakayoiwezesha HESLB kudai zaidi ya Shilingi bilioni 10.6 kutoka kwa wanufaika 5,065 waliokua wanafunzi wa taasisi hiyo kati ya mwaka 2008 na 2015. Hafla hiyo ilifanyika leo (Jumanne, Juni 21, 2022) Jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni Wanasheria wa Taasisi hizo, Abdallah Mtibora (kushoto) na Belinda Mollel.
Na Mwa...
Read More