Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 63 wa mwaka wa Chama cha Waajiri uliofanyika Jijini Dodoma tarehe Juni 22, 2022.
Na: Mwandishi Wetu - Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan inathamini na kutambua mchango mkubwa unaotol...
Read More