Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akimueleza jambo na Inspekta Jenerali kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia, Balozi Natalia Quintavalle wakati alipokutana kwa mazungumzo katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Na Mwandishi wetu, Dar
Katika kukuza na kuendeleza diplomasia ya uchumi, Serikali ya Italia imeahidi kuanzisha upya safari za ndege za moja kwa moja kutoka nchini humo hadi Zanzibar kuanzia tarehe 29 Juni, 2022.
Ahadi hiyo imetolewa na Inspekta Jenerali k...
Read More