Mhandisi wa Miradi, kutoka Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Colman Gaston, akitoa taarifa ya maendeleo ya mradi wa barabara ya mzunguko wa nje ya jiji la Dodoma kwa katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi,(Sekta ya Ujenzi) Balozi. Aisha Amour, mara baada yakukagua mradi huo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Balozi Mhandisi Aisha Amour, amewataka wakandarasi wanaotekeleza mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko ya jiji la Dodoma na kiwanja cha ndege cha Msalato kuhakikisha wan...
Read More