Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Wapili kushoto), pamoja na Maafisa wa Serikali wakiwa na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Kusini Mashariki mwa Afrika, Bi. Victoria Kwakwa, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere-Dar es Salaam, kwa ziara ya kikazi ya siku mbili hapa nchini.
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema kuwa uhusiano kati ya Serikali na Benki ya Dunia unazidi kuimarika na kwamba W...
Read More