Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. Patrobas Katambi akifafanua umuhimu wa kutekeleza Sera na Sheria za Wenye Ulemavu nchini wakati wa Mkutano Mkuu wa Kitaifa wa Wafanyakazi wenye Ulemavu, tarehe 27 Juni, 2022 jijini Dodoma, ulioandaliwa na Taasisi ya Ikupa Trust Foundation
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. Patrobas Katambi amebainisha utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa wakati alipokutana na wenye Ulemavu mnamo mwezi Machi, mwaka huu, Ikulu Chamwino...
Read More