Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akizungumza wakati wa hafla ya Benki ya CRDB kukabidhi gawio la Shilingi bilioni 36.1, kwa Serikali na Taasisi zake kwa mwaka 2021, iliyofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dodoma.
Na. Peter Haule na Saidina Msangi, WFM, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amepokea gawio la Shilingi bilioni 36.1 kutoka Benki ya CRDB na kuahidi kutumia fedha hizo katika kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo sekta ya elimu, afya na miundom...
Read More