Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri - Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi akizungumza na viongozi kutoka Mkoa wa Dodoma na Mkoa wa Singida wakati wa makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru kati ya uongozi wa Mkoa wa Dodoma na Mkoa wa Singida yaliyofanyika Wilaya ya Bahi, eneo la Sokoni Dodoma, Agosti 16, 2022. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri - Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Prof. Jamal Katundu.
Na: Mwandishi Wetu – DODOMA
Mbio za Mwenge wa Uhuru 2022 zimesaidia kwa kiasi kikubwa kufanikisha kukusanya Shili...
Read More