Na: Prisca Libaga,MAELEZO, Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe ameagizwa kuwapeleka jijini Dubai maafisa wa Makumbusho mpya ya Olduvai Gorge kwa ajili ya mafunzo zaidi ya kiteknolojia.
Agizo hilo limetolewa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan wakati akizindua rasmi Majengo ya Makumbusho mapya ya Olduvai Gorge yaliyopo ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
Mama Samia amesema Tanzania tumebarikiwa kwa kuwa na Makumbusho kubwa zaidi barani Afrika yenye kuweza kutoa historia ya Zamadamu, yaani binadamu w...
Read More