[caption id="attachment_15085" align="aligncenter" width="750"] Meneja wa Forodha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), bandaroi ya Dar es Salaam, Bw. John Micah, akifafanua jambo kwa Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (hayupo pichani), alipofanya ziara ya kushitukiza bandarini, Jijini Dar es Salaam.[/caption]
Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amefanya ziara ya kushitukiza katika Kituo cha Forodha Bandarini, kilichoko katika Bandari ya Dar es Salaam na kuiagiza Mamlaka ya Mapa...
Read More