[caption id="attachment_17422" align="aligncenter" width="750"] Mwezeshaji Bibi. Sarah Kibonde Msika –Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano kwa Umma na Uhamasishaji, Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), akitoa elimu kuhusu umuhimu wa Hifadhi ya Jamii kwa washiriki wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Kifedha yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_17425" align="aligncenter" width="750"] Washiriki wa mafunzo wakimsikiliza kwa makini mwezeshaji Bibi. Sarah...
Read More