[caption id="attachment_14761" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Longido mkoani Arusha leo.[/caption]
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi katika mipaka mbalimbali nchini ukiwemo wa Namanga mkoani Arusha kuhakikisha wanachunguza kwa umakini mizigo yote inayoingia ili kudhibiti uingizwaji wa silaha na dawa za kulevya nchini.
Ametoa agizo hilo leo (Alhamisi, Septemba 21, 2017) alipotembelea kituo cha Pamoja cha Forodha cha Namanga...
Read More