Na Mwandishi Wetu, MAELEZO
Serikali imesisitiza umuhimu wa mafunzo zaidi kwa wataalamu wa ukaguzi na udhibiti ili kuhakikisha dawa zinazoingizwa na kutengenezwa nchini zina ubora kwa kuzingatia viwango na vigezo vilivyowekwa.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Ulisubisya Mpoki amesema kuwa moja ya changamoto kubwa zinazozikabili nchi nyingi barani Afrika katika kuwapatia wananchi wake huduma bora za afya ni ukosefu wa wataalamu wa kutosha wa ukaguzi wa dawa hivyo mafunzo ya wataalamu hao hayana budi...
Read More