[caption id="attachment_19249" align="aligncenter" width="800"] Mkurugenzi Msaidizi (Mipango na Tafiti) Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Bashiru Taratibu akieleza umuhimu wa makazi salama wakati cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Maafa yenye Kaulimbiu “MAKAZI SALAMA:Punguza Makazi katika maeneo Hatarishi, Punguza Kuhama Kutokana na Maafa” yaliyoadhimishwa katika Viwanja vya Nyerere Square Dodoma Oktoba 13, 2017.[/caption]
Na: Frank Mvungi- Maelezo Dodoma
Serikali yapima Viwanja zaidi ya milioni moja na nusu ka...
Read More