[caption id="attachment_21132" align="aligncenter" width="900"] Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (aliyevaa kaunda) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Wizara hiyo baada ya kuwaaga rasmi leo mjini Dodoma, Prof. Elisante amehamishiwa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji baada ya mabadiliko ya safu ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Alhamisi tarehe 26 Oktoba, 2017. (Picha na...
Read More