Na: Mwandishi Wetu
Jumla ya wanafunzi na walimu 5,725 wa shule za sekondari na msingi 14 katika wilaya ya Mafia, mkoa wa Pwani, wamepata mafunzo kuhusu matumizi sahihi ya dawa na vipodozi ili kuwawezesha kufanya maamuzi sahihi wakati wa kununua na kutumia bidhaa hizo.
Katika mafunzo hayo, washiriki walielimishwa kuhusu namna ya kuvitambua vipodozi vilivyopigwa marufuku na kuelezwa madhara ya matumizi ya vipodozi hivyo kwa afya ya mtumiaji.
Mafunzo hayo yaliendeshwa hivi karibuni kwa siku tano na Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) ambap...
Read More