Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Yatembelea Kiwanda cha Sukari cha Mbigiri
Nov 19, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_22971" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Stephen Kebwe akiwakaribisha baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria walipotembelea katika kiwanda cha Sukari na Kilimo cha Miwa Mbigiri kilichopo Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro[/caption] [caption id="attachment_22972" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (watu wenye Ulemavu) Mhe. Stella Ikupa akisalimiana na Mhe. Siuleman Zedi mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha Sukari na Kilimo cha Miwa Mbigiri kilichopo Wilaya ya Kilosa Morogoro.[/caption] [caption id="attachment_22973" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mhe.Suleman Zedi akieleza jambo kwa wajumbe wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria (hawapo pichani) wakati wa ziara yao katika kiwanda cha Sukari na Kilimo cha Miwa Mbigiri mkoani Morogoro[/caption] [caption id="attachment_22974" align="aligncenter" width="800"] Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Stephen Kebwe akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria (hawapo pichani) walipotembelea katika kiwanda cha Sukari na Kilimo cha Miwa Mbigiri kilichopo Morogoro.[/caption] [caption id="attachment_22975" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akifafanua jambo wakati wa mkutano wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria walipofanya ziara katika kiwanda cha Sukari na Kilimo cha Miwa Mbigiri Kinachoendelea kujengwa Morogoro.[/caption] [caption id="attachment_22976" align="aligncenter" width="750"] Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mhe.Ally Sallehe (mb) akiulizwa swali wakati wa mkutano wa kamati hiyo ilipotembelea katika kiwanda cha Sukari na Kilimo cha Miwa katika gereza la Mbigiri Mkoani Morogoro[/caption] [caption id="attachment_22977" align="aligncenter" width="800"] Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mhe. Taska Mbogo (mb) akichangia hoja wakati wa mkutano wa kamati hiyo walipotembelea katika Sukari na Kilimo cha Miwa katika gereza la Mbigiri mkoani Morogoro Novemba 18, 2017.[/caption] [caption id="attachment_22978" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakifuatilia uwasilishaji wa mada kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe.Stephen Kembwe walipotembelea kiwanda cha Sukari na Kilimo cha Miwa Mbigiri Mkoani Morogoro Nobemba, 18, 2017.[/caption] [caption id="attachment_22979" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Stephen Kebwe wakiangalia mashina ya miwa wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria katika kiwanda cha Sukari na Kilimo cha Miwa Mbigiri Wilayani Kilosa Morogoro.[/caption] [caption id="attachment_22980" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria katika kiwanda cha Sukari na Kilimo cha Miwa Mbigiri Morogoro.[/caption] [caption id="attachment_22981" align="aligncenter" width="800"] Picha ya pamoja ya Baadhi ya Wajumbe wa Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria waliotembelea katika kiwanda cha Sukari na Kilimo cha Miwa Mbigiri Wilayani Kilosa Morogoro. (Picha zote na: Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi