[caption id="attachment_22252" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Hamisi Kigwangalla akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.[/caption]
Frank Mvungi- Maelezo , Dodoma
Serikali imesema itaendelea Kupanua wigo wa Upatikanaji wa huduma za Matibabu kwa wagonjwa wenye saratani ili Kupunguza msongamano katika Hosipitali ya Ocean Road Jijini Dar es Salaam.
Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Leah Komanya Bungen...
Read More