[caption id="attachment_25314" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Ujenzi, toka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kwandikwa akitoka katika jengo la Makao Makuu ya Posta jijini Dar es Salaam leo alipomwakilisha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa katika hafla ya uzinduzi wa Nembo Mpya ya Shirika la Posta Tanzania (TPC) leo. Katikati ni Postamaster Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) Hassan Mwang’ombe na Meneja Uhusiano wa Shirika hilo Bw. Ngowi[/caption]
[caption id="attachment_25315...
Read More