Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO Dkt. Alexender Kyaruzi (katikati) na Wajumbe wa Bodi ya Shirika hilo wakipatiwa maelezo walipotembelea kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Mahumbika mkoani Lindi.Na Yasini Silayo. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewahakikishia Umeme wa uhakika wakazi wa Mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma kutokana na uboreshwaji mkubwa wa huduma za uzalishaji, usafirishaji na usambazaji umeme zinazoendelea katika Mikoa hiyo. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa TANESCO, Dkt. Alexander Kyaruzi alipofan...
Read More