Na. Msafiri Ulimali, Fatma Athumani
Ofisi ya Taifa ya Takwimu –NBS imetoa maelezo ya marekebisho ya Sheria ya Takwimu Namba 9 ya mwaka 2015 katika ofisi za takwimu zilizopo barabara ya Sokoine jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Waandishi wa Habari katika mkutano jana, Mkurugenzi Mtendaji wa NBS Dkt. Albinas Chuwa amesema kuwa sheria ya takwimu ya Mwaka 2015 imerekebishwa kupitia Sheria Namba 8 ya mwaka 2018.
Dkt Chuwa amesema “Lengo la marekebisho hayo, ni kuimarisha utaratibu wa usambazaji takwimu nchini, kwa nia ya kuepusha kutoa takwimu...
Read More