*Asema Watanzania wana matumaini makubwa kwao, waongeze bidii,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametembelea kambi ya timu ya Taifa ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 na kuwaeleza kuwa Watanzania wana matumaini makubwa dhidi yao, hivyo waongeze bidii.
Alitembelea kambi hiyo ya Serengeti Boys iliyoko katika jiji la Kigali nchini Rwanda. Waziri Mkuu alikwenda Rwanda Aprili 7, 2019 kumuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli kwenye kumbukumbu za miaka 25 ya mauaji ya Kimbari.
Akizungumza na wachezaji hao jana (Jumapili, Aprili 8, 2019) Waziri Mkuu...
Read More