Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Azindua Hospitali ya UWATA, Azungumza na Wananchi wa Inyala, Igurusi, Mswiswi na Chimala
May 02, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42689" align="aligncenter" width="857"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Uamsho wa Wakristo Tanzania (UWATA) iliyopo Mwakibete jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.[/caption] [caption id="attachment_42691" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Uamsho wa Wakristo Tanzania (UWATA) iliyopo Mwakibete jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.[/caption] [caption id="attachment_42693" align="aligncenter" width="1000"] Mandhari ya hospitali ya UWATA iliyopo jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi